Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba anapenda kuwataarifu waombaji wote walioomba kazi kwa nafasi ya Msaidizi wa Kumbukumbu II kuwa usaili unatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 29 Septemba, 2020.Bofya hapa chini kupata taarifa zaidi
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI 2020.pdf
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimba.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa