MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA TANDAHIMBA ANAPENDA KUWATANFAZIA WAOMBAJI WOTE WALIOKIDHI VIGEZO VYA KUITWA KWENYE USAILI KWA NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI III,KATIBU MUKTASI III NA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II KUFIKA KWENYE USAILI UTAKAOFANYIKA TAREHE 30/03/21 NA 31/03/21 SAA 3:00 ASUBUHI KATIKA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA TANDAHIMBA.
Kuyaona majina ya waliokidhi vigezo kwa nafasi tajwa hapo Bofya hapa.KUITWA KWENYE USAILI -TANDAHIMBA.pdf
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimba.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa